Aegon Targaryen
Member
- Sep 1, 2017
- 24
- 21
Kuweni wavumilivu jamani wabunge wenu wako bungeni bado wanaichambua ripoti ya makanikia awamu ya pili
Tatizo sio Mbunge, tatizo ni Diwani ambaye ameikataa kampuni iliyopewa tenda kwa sababu hajapewa cha juu, hili tatizo sasa hivi lipo ngazi ya juu, nafikiri litafanyiwa kazi muda si mrefu. Mwezangu Kimanga ipi? Mi nipo jirani na nyumbani kwa Dk. Mpango.
kwani mbunge wenu ni chama pinzani?
Nikweli Tabata Kimanga ni tatizo ni shida hata uvumilivu tumevumilia sana.Kwakifupi ni kwamba Kimanga kuanzia ngazi ya chini inaongozwa na Ukawa sasa anaangalia maeneo ambayo alipata kura nyingi za ccm ndio anaenda ikumbukwe bila kugawana kura kati ya cdm na Cuf sasa hivi Mbunge angekua Mtatiro wa Cuf...Wakazi wa Tabata Kimanga kwa muda mrefu imekuwa kama vile tumeshaulika. Tumepigia sana kelele suala la barabara yetu ambayo ikinyesha mvua ni tabu tupu, wenye magari madogo wanayapaki wakati wenye magari makubwa wanakumbana na adha ya kujaa maji. Kipindi cha jua litapita greda likwangue lakini tunakoma na vumbi.
Suala la ubovu wa stendi na kukosekana soko lilikuwa kwenye ajenda kuu ya kampeni 2015 lakini mpaka sasa hatuoni chochote. Kila siku tunamuona mbunge anafanya ziara kata nyingine za jimbo lakini Kimanga hathubutu kukanyaga.
Fedha za mfuko wa jimbo tunasikia zimegawanywa lakini tukiwauliza watendaji wanatuambia hazijafika kwenye kata zetu.
Nadhani imefikia wakati serikali ikubali kwamba jimbo la Segerea ni kubwa inatakiwa ligawanywe ili Kimanga na Buguruni vijitigemee maana tunachokiona kwa sasa ni mbunge wetu kufanya kazi kwa kata za Segerea tu.
tatizo miaa mingi imechukuliwa na UKAWA kuanzia kimanga, mpaka kisukuru huku unafikiri huyo mbunge wa ccm ana hamu ya kuja huku?
aah ni yule aliyekwenda kuomba kwa bashite poo kuhusu watu kubomolewa nyumba zao, kama kama wakiendelea serikali za mitaa watakosa viti hivyo wahalt kwanzaBonnah Kaluwa ni wa CCM
Diwan ndo yule mzee mwenye mamvi!!? Mshenzzz sana yule mzeeTatizo sio Mbunge, tatizo ni Diwani ambaye ameikataa kampuni iliyopewa tenda kwa sababu hajapewa cha juu, hili tatizo sasa hivi lipo ngazi ya juu, nafikiri litafanyiwa kazi muda si mrefu. Mwezangu Kimanga ipi? Mi nipo jirani na nyumbani kwa Dk. Mpango.