Tabasamu lisilo na unafiki, wala kejeli

sijakuelewa ulichotaka kumaanisha ni nini hasa! na huyo pk hapo vp tena.... ila wadada wakinyarwanda hasa watutsi ni balaa jaman nyie acheni!..
 
kweli nimeamini ile nyimbo ya zamani ya shingo ya upanga....watu waliona mbali jamani!
 
kwa combat hizo, sishangai Ridhiwani,Sioi Sumari,G.Mgimwa,Vita/zamaradi Kawawa,Nape Nnawiye,Dr Mwinyi, etc kuwa wanasiasa tena wa CCM
 
Hawa watoto wa Kagame hawafanyi biashara ya madawa ya kulevya!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…