Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar hapo juu kinavyojieleza
alikuwa ni mwanafunz wa montesor maria kawe kamo jijin mwanza kabila lake ni mjita wa huko bunda,
Nilikutana naye mnadan kitangil nilipokuwa nimeenda kuchek pamba kali za kuvaa ghafula nilikutanishana naye macho bahat mbaya nikatabasam, kwa ubaya zaid tabasam langu huwa ni pana na zur sana kwahiyo mtoto alichanganyikiwa hapo kwa hapo
Nilimuongelesha akaongea niliomba namba akanipa tulianza kuwasiliana had tukawa wapenz, siku moja nilimuuliza alinipendea ni nini akadai tabasamu langu lilimvutia sana
Jumamos hii anaolewa nimeumia sana jaman ni binti mpole na mstarabu sana hana makuu si mchoyo hata nilikuwaga napata shida alikuwa akinisaidia sana
Alijitolea kufa na kupona kutoa mimba ili nisitiwe mikonon mwa kamanda wetu wa enz hizo KAMANDA BARO
Dah inauma sana wazee
no way
Edither wangu
LONDON BABY