Tabasamu langu pana lilimuumiza sana

Tabasamu langu pana lilimuumiza sana

Wanaume wa mikoani kwa kulilia hamjambo!
We jamaa bado tu unaendelea na ugonv wa juz nilikuwa tu nawatia adabu maana siku hiz nyie watu wa dar hamjielewi kabisa
 
inategemea unataka mwanamke awe na sifa gani, mapenzi ni kama vile umeenda dukani huna pesa mfukoni au pengine unayo pesa mfukoni umeona shati au kiatu kizuri sana kiasi kimekukaa moyoni utaulizia bei kuona utakimudu unakuta umepelea fedha kadhaa uaweza kunegotiate na muuzaji asikiuze uwe unalipia had utakapomaliza deni lakini kabla hujakinunua lazima ukitest kitakufit? hata kama kitapwaya je kitakupwaya kwa mtindo gani kitakupwaya sana au kiasi tu kinavalika hakina shida?

kumpata mwenza ni rahisi kama ikiwa umedhamiria na dhamira yako iko na Mungu ndani yake utafanikiwa, usichoke wala kukata tamaa siku zote kupotea njia ndio kujua njia, kua na vigezo stahiki, kua na vigezo vinavyoishi usiangalie sifa za kukuridhisha macho yako hutadumu! lastly chagua chaguo litakalokupa amani ya moyo
Kama upo dar naomba wikend hii nikutoe lunch kama hautajali
 
Back
Top Bottom