asante, siko dar mkuuKama upo dar naomba wikend hii nikutoe lunch kama hautajali
hahahhahahhaAnataka akakukabe huyo mkuu kataa kuonana naye
Utajua hukohuko we nenda PMNiwakute pm wanafanyaje na kitu gan kipelekee had niwakute pm
MtorosheSawa mkuu lakin nilikuwa najipanga panga
hahahahha asante nimekuelewaWatu wa dar siyo wazur momy weng ni matapel
Dah hiyo lazima iume mkuu, lakin ni way out, huna sindano ya ganzi ya moyo ungejichoma ili upate ahueni mambo yaendeelee lakin kwa sasa vumilia tu kwa kweliPoa poa mkuu lakin si unajua mtu kama ulikuwa na malengo naye