Taasisi zote huru

Taasisi zote huru

Kunja bwanga

Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
9
Reaction score
1
Nachokiona kuwa taasisi zote za serikali ni huru zinaamua mambo yake bila kushirikiana na taasisi nyingine mfano tcu na jkt juu ya awamu ya tatu wanaoenda jkt au chuo pili tcu na heslb wakati heslb wanasema hawatambua kigezo cha priority au non tatu cda dodoma na mkuu wa mkoa juu ya maendeleo ya mkoa nne wizara za mawaziri mf waziri mkuu juu ya wakazi wa loliondo na wizara makzi na utalii asante
 
Back
Top Bottom