BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Taasisi zinazoweza kulipua moto nchini kama hazitaonywa ni tatu: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jeshi la Polisi na Msajili wa Vyama vya Siasa. Taasisi hizi ni triplets, yaani mapacha watatu wanaofanana!
Wote hutumika kama mhimili wa kufinya haki nchini! Ole wao Wakuu wa Taasisi hizi! Manung'uniko na vilio vya watu walio wengi haviwezi kuanguka bure ardhini pasipo kumfikia Mungu.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeonywa sana na sisi Askofu, Jeshi la Polisi angalau limeonywa kidogo. Kidole chetu kinaelekezwa kwa Inspekta Generali wa Jeshi la Polisi (IGP) na Msajili wa Vyama vya Siasa. Wasisahau kuwa hao ambao taasisi hizi hutumika kufinya haki zao, nao ni raia na wana wa nchi hii (Ezekieli 33:1-20)!
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula