Taasisi ya Urais iheshimiwe

Mleta uzi umeathiriwa na ushabiki!
Tatizo kujivisha miwani ya mbao!
''Usidai haki kama hautimizi wajibu''
 
Kutusi kwa ajili ya tumbo lake kumbe!
 
Kujipendekeza huzaa uoga na ndio unachofanya ndugu, kumbuka zama zmebadilika acha watu wauseme ukweli.....
 
Naona kiburi cha milion 7 .. Haya mkuu
 
Kweli ww ni kijana wa CCM haina ubishi........
 
Acha mkwara wewe Panya buku,nyie ndio wale wale watoto wenu wakipigana malishoni unanoa panga kwenda kumshambulia baba mtoto aliyepigana na mwanao.
Taasisi ya Urais ni taasisi inayo ongozwa kwa busara na diplomasia ya Hali ya juu,haikurupuki tu ku punish mtu ,taifa au chama eti kwa kuwa imesemwa vibaya.
Jifunze kuwa mstaarabu,tambua taifa letu lineendeshwa,kuongozwa,na kutawaliwa na watu wastaarabu sio wakurupukaji Kama wewe.
Unajaribu kumchonganisha ben na DC,RC,pia unajaribu kuwachongea hao uliowataja hapo juu kwa my rais waonekane hawajui kazi.
Wewe Kama unaona mph rais anatukanwa na uwez vumilia,bora uhame nchi katafute hifathi huko Neptune au Pluto.lakin sio Dunia hii vyenye viama vya siasa tena vyama Vingi.
 
Inakuwaje taasisi ya urais inapokosa au inaposhindwa kujiheshimu?
 
Turudi kwenye msingi wa maadili yetu.
Hakuna aliyepewa haki ya kutukana wala aliyehalalishiwa kutukanwa.Ukiona hali ni tofauti ujue kunaa sehemu mtu katereza
 
Unataka kumfanyia ugaidi Benn Saanane?
 


Hivyo vyombo ulivyovitaja si department za CCM, kwa bahati mbaya sana nyie vijana bado mnafikiria kama babu zenu kabla ya mfumo wa vyama vingi. Hao wanalipwa mishahara inayotokana na watu wa itikadi zote na wasio na itikadi.

Pili ukiona taasisi ya urais haiheshimiki ujue na yenyewe haijiiheshimu. Huwezi kutaka heshima wakati mwenyewe unafanya vituko barabarani. Tutamheshimuje taasisi isiyeiheshimu katiba ya nchi?
 
Kubishana na nyumbu inahitaji nguvu za ziada,
 
Hivi alisemaje kuhusu wanaofuga ndevu na wale wasiofuga kule Pemba nikumbusheni.
Masikini Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…