Taasisi ya Urais iheshimiwe

Ni kama nyumbani baba usipojihesbimu usilazimishe watoto wa kuheshimu. Heshima inakuja naturaly
 
ni matusi gani hayo aliyotukanwa Rais? tutajie ikiwezekana tumpeleke Mahakamani haraka
 

..Raisi naye anapaswa kuiheshimu taasisi ya Uraisi na dhamana aliyopewa kwa kujizuia kutoa kauli za hovyo-hovyo kwenye mikutano ya hadhara, kauli ambazo zinamdhalilisha yeye binafsi, taasisi ya Uraisi, na taifa kwa ujumla.
 
Ukijiheshimu utaheshimiwa!!!
 
Watu wengine huwa hawana aibu wala hasikii ganzi katika uandishi wao
 
Acheni us.h.og@ vijana wa ccm
 
Nenda leba kama unauchungu sana. U DC kuupata sio kazi endelea kusikia uchungu
 
Hivi unaanzaje hata kufikiria kumtukana Rais?

Tukubaliane kutokukubaliana na kutafuta njia muafaka kuaddress tofauti bila kuutusi Urais na kumtusi Rais
Na raisi anaanzaje kutisha raia wake na kuwabagua.
 
Kwanza ungetuambia kama zile spichi za John Michael Mbabe (JPM) kule chumbe zimetolewa na rais au taasisi ya urais?
 
Mimi bado natafuta tusi la kukutukana kwenye kamusi. Huu nao ni uchochezi, ni kumchochea mtukufu achukie watu wake. Inapaswa ushughulikiwe na vyombo tiifu
 
Jiheshimu tutakuheshimu hebu kafyatue watoto elimu ni bure
 

Pusi wewe! Unakuja na hoja ya heshima kwa taasisi ya Urais kisha unamalizia na maneno ya kipuuzi eti nyie wanaccm mtafanya sijui ujinga gani kwani mnawafahamu walinzi wote! Kwa hiyo mnajitangaza kuwa nyie mnaandaa matukio ya kihalifu ndani ya ccm? Itakuwa ajabu sana kama huko unakolilia wachukue hatua hawataanza nawe jambazi na gaidi mkubwa unless watudhibitishie tuu kuwa wewe ni kichaa na unaropoka tuu.
Kuhusu heshima, sikiliza hotuba za Mwl Nyerere ndio utajua kuwa hotuba za sasa hivi ndio zinazo ondoa hadhi na kuvunjia heshima taasisi hiyo. Saanane kasema yaliyo moyoni mwake ( na mioyo ya wengine) lakini kama mnataka kumvizia nyie fanyeni hivyo na msisahau kututangazia "Tuombeeni kwa Mungu ili tufanikiwe kumwangamiza Ben wa Saanane na wengine kama yeye"
 
Ukijiheshimu utaheshimika tu..lakini ukitaka heshima za unafiki au woga..hizo siyo heshima kamwe..watu watakusalimia shikamoo na kupiga hadi magoti..ukipita nyuma wanakung'ong'a na kukucheka. Kumheshimu mtu kwa dhati hakuhitaji vitisho kama vyako..
 
Mtoa mada umemtaja DC Hapi kama mbadala wa matakwa yako lakini umesahau kama kwa mujibu wa Lizabon huyu ni DC anayemuhujumu mtukufu Rais kwa kushikiana na Membe na Lukuvi hivyo hawezi kutekeleza unalotaka. Hii ni kwa mujibu wa maelezo ya Lizabon.
 
Tunaowaiga na kujikomba kwao hawaabudu taasisi hiyo ya urais ikibidi wanaushtaki e.g.
1.Brasil tumeona Rais anashtakiwa na kufukuzwa kazi kwa kukiuka katiba.
2.USA tumeshuhudia Trump akimjibu Rais na kama ingekuwa ni hapa kwetu Polisi wangejiingiza kati
3.UK Tumeshuhudi waziri mkuu akikaa pembeni kwa sababu wananchi wengi hawakukubaliana naye kuhusu muungano wao na ulaya na ingekuwa kwetu hapa tume ingeshurutishwa kwenda na matakwa ya kiongozi mkuu.
4. Kiongozi mzuri siyo yule anaeonyesha hasira dhidi ya watu wake kisa tu wanatofautiana mitizamo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…