The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,950
- 12,550
Unataka kuwafanya watu wengine hawajui maana ya kukosoa na kutukana? Unakosoa kwa kutumia maneno ya kejeli na matusi?
Kama unaona kunakosa limefanyika usisubiri mpaka hao uliowafaja wachukue hatua kwa mjibu wa sheria hata wewe mwenyewe unaweza ukachukua hatua,mbona kwenye kesi za uchaguzi wapinzani wakishinda huwa mnawahi mahakamani kwenda kupinga ushindi wa wapinzani kumshinda hata yule ambaye alitakiwa kulalamika?.Kuna jambo linakera sana mtandaoni kuona MTU kwa makusudi anaamua kumtusi Mh Rais Dr john pombe Joseph Magufuli tena anamdhalilisha kwa kumuita majina ya ajabu ajabu mi nadhani ifike wakati waheshimu taasisi ya urais km hawataki kuheshimu taasisi hiyo vyombo vilivyoundwa maalum kwa kazi hiyo kama TISS, Polisi na JWTZ iwashurutishe kwa nguvu kutii taasisi ya urais.
Nasema hivi kwasababu nimesoma maandiko aliyoandika mtu anayeitwa Ben Sanane na nimewaambia ni mfanyakazi wa cdm makao makuu km mkuu wa kitengo cha utafiti na mtu wa karibu sn na Mh Mbowe kiukweli machapisho yake ya Jana naleo mtandaoni inapasa kabisa kumfikisha ktk vyombo vya usalama hasa kile chombo kilichopewa mamlaka kulinda taasisi ya Urais. Tukiacha watu kuchezea taasisi ya urais kuna hatari kubwa taasisi hiyo kutoheshimika milele. Watanzania pamoja na demokrasia ya vyama Vinci kuanzishwa nchini lkn hiyo haitoi nafasi kwa kutusi Mh Rais.
Nimeamua kuandika kwa uchungu kwasababu haya yote yanafanyika wakuu wa wilaya wapo mdogo wangu Ally Salum Hapi dc kinondoni yupo kimya mh rais anadhalilishwa wilayani kwake hajachukua hatua, mkuu wa Mkoa Mh Paul Makonda yuko kimya wakati majeshi yote ya kulida taasisi ya Urais wanayo, cjui wanasubiri mpk Mwigulu Nchemba Waziri wa mambo ya ndani au naibu wake Hamad Masauni ndiyo wachukue hatua?
Jamani ninyi viongozi mliyopewa mamlaka mkishindwa tuachieni sisi vijana wa ccm tufanye kazi hiyo hatuta kubali kuona Rais wetu anadhalilishwa na wahuni. Muda sasa umefika wa kusema no no no.
Tunataka kuona hatua zikichukuliwa haraka iwezekanavyo
Mheshimiwa aliyepita alisema ukitaka kula nawe uwe tayari kuliwa, ,, Sasa ukitaka kutotukanwa nawe usitukane..Hivi unaanzaje hata kufikiria kumtukana Rais?
Tukubaliane kutokukubaliana na kutafuta njia muafaka kuaddress tofauti bila kuutusi Urais na kumtusi Rais
Kuna jambo linakera sana mtandaoni kuona MTU kwa makusudi anaamua kumtusi Mh Rais Dr john pombe Joseph Magufuli tena anamdhalilisha kwa kumuita majina ya ajabu ajabu mi nadhani ifike wakati waheshimu taasisi ya urais km hawataki kuheshimu taasisi hiyo vyombo vilivyoundwa maalum kwa kazi hiyo kama TISS, Polisi na JWTZ iwashurutishe kwa nguvu kutii taasisi ya urais.
Nasema hivi kwasababu nimesoma maandiko aliyoandika mtu anayeitwa Ben Sanane na nimewaambia ni mfanyakazi wa cdm makao makuu km mkuu wa kitengo cha utafiti na mtu wa karibu sn na Mh Mbowe kiukweli machapisho yake ya Jana naleo mtandaoni inapasa kabisa kumfikisha ktk vyombo vya usalama hasa kile chombo kilichopewa mamlaka kulinda taasisi ya Urais. Tukiacha watu kuchezea taasisi ya urais kuna hatari kubwa taasisi hiyo kutoheshimika milele. Watanzania pamoja na demokrasia ya vyama Vinci kuanzishwa nchini lkn hiyo haitoi nafasi kwa kutusi Mh Rais.
Nimeamua kuandika kwa uchungu kwasababu haya yote yanafanyika wakuu wa wilaya wapo mdogo wangu Ally Salum Hapi dc kinondoni yupo kimya mh rais anadhalilishwa wilayani kwake hajachukua hatua, mkuu wa Mkoa Mh Paul Makonda yuko kimya wakati majeshi yote ya kulida taasisi ya Urais wanayo, cjui wanasubiri mpk Mwigulu Nchemba Waziri wa mambo ya ndani au naibu wake Hamad Masauni ndiyo wachukue hatua?
Jamani ninyi viongozi mliyopewa mamlaka mkishindwa tuachieni sisi vijana wa ccm tufanye kazi hiyo hatuta kubali kuona Rais wetu anadhalilishwa na wahuni. Muda sasa umefika wa kusema no no no.
Tunataka kuona hatua zikichukuliwa haraka iwezekanavyo
Huyu sio jk nawaambia mtapata matatizo sana kwa akili hizi za mkumbo.
Tafsiri ipi uliyonayo juu ya kujiheshimu, kuna siku yoyote raisi katukana mtu kwa tusi la mdomo au ishara ya dole la kati???
Ni nini hicho kilichokukera? Tupe ushahidi maana sie wengine hatukusoma. Na je una ushauri gani kwa vyombo vya dola kuhusu kauli za kukera, vitisho, dharau, ubabe na za uchochezi kutoka kwa kiongozi wa taasisi hiyo?Kuna jambo linakera sana mtandaoni kuona MTU kwa makusudi anaamua kumtusi Mh Rais Dr john pombe Joseph Magufuli tena anamdhalilisha kwa kumuita majina ya ajabu ajabu mi nadhani ifike wakati waheshimu taasisi ya urais km hawataki kuheshimu taasisi hiyo vyombo vilivyoundwa maalum kwa kazi hiyo kama TISS, Polisi na JWTZ iwashurutishe kwa nguvu kutii taasisi ya urais.
Nasema hivi kwasababu nimesoma maandiko aliyoandika mtu anayeitwa Ben Sanane na nimewaambia ni mfanyakazi wa cdm makao makuu km mkuu wa kitengo cha utafiti na mtu wa karibu sn na Mh Mbowe kiukweli machapisho yake ya Jana naleo mtandaoni inapasa kabisa kumfikisha ktk vyombo vya usalama hasa kile chombo kilichopewa mamlaka kulinda taasisi ya Urais. Tukiacha watu kuchezea taasisi ya urais kuna hatari kubwa taasisi hiyo kutoheshimika milele. Watanzania pamoja na demokrasia ya vyama Vinci kuanzishwa nchini lkn hiyo haitoi nafasi kwa kutusi Mh Rais.
Nimeamua kuandika kwa uchungu kwasababu haya yote yanafanyika wakuu wa wilaya wapo mdogo wangu Ally Salum Hapi dc kinondoni yupo kimya mh rais anadhalilishwa wilayani kwake hajachukua hatua, mkuu wa Mkoa Mh Paul Makonda yuko kimya wakati majeshi yote ya kulida taasisi ya Urais wanayo, cjui wanasubiri mpk Mwigulu Nchemba Waziri wa mambo ya ndani au naibu wake Hamad Masauni ndiyo wachukue hatua?
Jamani ninyi viongozi mliyopewa mamlaka mkishindwa tuachieni sisi vijana wa ccm tufanye kazi hiyo hatuta kubali kuona Rais wetu anadhalilishwa na wahuni. Muda sasa umefika wa kusema no no no.
Tunataka kuona hatua zikichukuliwa haraka iwezekanavyo
Ungesema No NO NO kwa Taasisi ya Urais kudhalilishwa na rais!! maneno yanayotolewa na rais na vitisho kejeli na mambo ya ovyo ovyo ni udhalilishaji wa taasisi ya Urais. Tunamchagua Rais ili afuate Katiba ya Nchi na kufanya taasisi yake kuheshimika !! Udhalilishaji wa Taasisi ya Urais kwa kuvunja katiba ni uhaini tosha!!Kuna jambo linakera sana mtandaoni kuona MTU kwa makusudi anaamua kumtusi Mh Rais Dr john pombe Joseph Magufuli tena anamdhalilisha kwa kumuita majina ya ajabu ajabu mi nadhani ifike wakati waheshimu taasisi ya urais km hawataki kuheshimu taasisi hiyo vyombo vilivyoundwa maalum kwa kazi hiyo kama TISS, Polisi na JWTZ iwashurutishe kwa nguvu kutii taasisi ya urais.
Nasema hivi kwasababu nimesoma maandiko aliyoandika mtu anayeitwa Ben Sanane na nimewaambia ni mfanyakazi wa cdm makao makuu km mkuu wa kitengo cha utafiti na mtu wa karibu sn na Mh Mbowe kiukweli machapisho yake ya Jana naleo mtandaoni inapasa kabisa kumfikisha ktk vyombo vya usalama hasa kile chombo kilichopewa mamlaka kulinda taasisi ya Urais. Tukiacha watu kuchezea taasisi ya urais kuna hatari kubwa taasisi hiyo kutoheshimika milele. Watanzania pamoja na demokrasia ya vyama Vinci kuanzishwa nchini lkn hiyo haitoi nafasi kwa kutusi Mh Rais.
Nimeamua kuandika kwa uchungu kwasababu haya yote yanafanyika wakuu wa wilaya wapo mdogo wangu Ally Salum Hapi dc kinondoni yupo kimya mh rais anadhalilishwa wilayani kwake hajachukua hatua, mkuu wa Mkoa Mh Paul Makonda yuko kimya wakati majeshi yote ya kulida taasisi ya Urais wanayo, cjui wanasubiri mpk Mwigulu Nchemba Waziri wa mambo ya ndani au naibu wake Hamad Masauni ndiyo wachukue hatua?
Jamani ninyi viongozi mliyopewa mamlaka mkishindwa tuachieni sisi vijana wa ccm tufanye kazi hiyo hatuta kubali kuona Rais wetu anadhalilishwa na wahuni. Muda sasa umefika wa kusema no no no.
Tunataka kuona hatua zikichukuliwa haraka iwezekanavyo
Ibara ya ngapi ya katiba imevunjwa? Je amekiuka mamlaka yake aliyopewa kwa muijibu wa katiba?Ungesema No NO NO kwa Taasisi ya Urais kudhalilishwa na rais!! maneno yanayotolewa na rais na vitisho kejeli na mambo ya ovyo ovyo ni udhalilishaji wa taasisi ya Urais. Tunamchagua Rais ili afuate Katiba ya Nchi na kufanya taasisi yake kuheshimika !! Udhalilishaji wa Taasisi ya Urais kwa kuvunja katiba ni uhaini tosha!!
ANZIA HAPO!!
Ibara ya 20! hajapewa mamlaka ya kuita watoto vilaza ilihali akiitwa mnakimbia mahakamani. Zanzibar alishawishi yule muungwana kumpita yeye aivunje katiba yake kama yeye!! Ajiheshimu ataheshimiwa!Ibara ya ngapi ya katiba imevunjwa? Je amekiuka mamlaka yake aliyopewa kwa muijibu wa katiba?
Hiyo ibara uliyoiweka hapo umeisoma?Ibara ya 20! hajapewa mamlaka ya kuita watoto ****** ilihali akiitwa mnakimbia mahakamani. Zanzibar alishawishi yule muungwana kumpita yeye aivunje katiba yake kama yeye!! Ajiheshimu ataheshimiwa!
Ninakutuma kasome urejee hapa na content yake na tafsiri yakeHiyo ibara uliyoiweka hapo umeisoma?
Soma kaleteNinakutuma kasome urejee hapa na content yake na tafsiri yake
mkuu awamu hii naona ingekuwa vyema tuwe na clarity ya "tusi/matusi" na "uchochezi" nje ya hapo tutalazimishana kuongea tunacho taka kusikia. NB, heshima kwa mamlaka na kwa mtu mmoja mmoja ni muhimuHivi unaanzaje hata kufikiria kumtukana Rais?