Taasisi ya Regia Mtema Foundation & Biography ya Regia

Just an update:

One Month ago Foundation ilishaingia mkataba na makampuni mawili tofauti kwa ajili ya kuanddika Biography na Kitabu cha Kero za Wananchi.

Kitabu cha Kero tayari tumeshaletewa first draft.

Biography bado ukusanyaji wa taarifa na kumbukumbu na interview zinaendelea.

Kila mwenye mapenzi mema na anayependa kuchangia, sasa ni wakati mwafaka zaidi ili kusaidia kumalizia awamu zilizobaki.

Post kuu inaelezea taratibu zote za kuchangia.
 
Malengo yetu ni kuhakikisha kuwa vitabu vyote vinatoka kabla ya mwisho wa Mwaka.

Michango yenu ina umuhimu sana. Kama umeguswa na una nia ya dhati ya kuchangia, unaweza kuonyesha kwa vitendo nia yako hiyo kwa kuchangia sasa.
 
Mkuu thread ya kutoka June mwanzoni hii. Kweli ulikuwa umepotea. Rugby za maisha nini? Kumaliza ubishi kesho tuma $ 500 lol

hahahahahahah lol
ngoja nilishe wajukuu kwanza lol
yap kweli m ndo naona leo , maisha ni zaidi ya rugby sasa hivi ..
 
Ushauri tu kama sijaenda nje ya mada Taasisi hii ingeweza pia kufanya kazi za maendeleo ya Jamii (Community Services) kwa ajili ya vijana wa rika na jinsia mbalimbali kama kuwaendeleza ili kuwa viongozi bora baadaye,kujitegemea,HIV/AIDS nk.
 
Nami naungana nawe (Mama POROJO). Hivi kila mtu anayechipukia katika siasa na hata kama hana machango mkubwa kwa Taifa lazima aanzihse Taasisi/ Mfuko? Kama ni hivi basi tutakuwa na taasisi kibao tena za mifukoni! Mzee Chifupa alianzisha ya mwanae Amina, sasa iko wapi na inafanya nini?Tujaribu kukusanya nguvu ili kuimarisha moja yenye kuleta tija an ufanisi kwa Taifa.
 
Back
Top Bottom