jakarason1974
Senior Member
- Apr 3, 2012
- 103
- 50
Nimesikia malengo ya Taasisi hii ya Jakaya Mrisho Kikwete Foundation....moja ya Malengo yake ni Utawala bora.... Najiuliza na waza na cheka.... Huu Utawala bora utakao hubiriwa na hii taasisi ni wa aina gani wakati.... Wahusika hao hao ndio walioharibu uchaguzi wa zanzibar?