Taasisi ya Elimu Tanzania na semina walimu mahiri Kilindi

Nguva Jike

JF-Expert Member
Jan 22, 2018
856
1,006
Habari za asubuhi.

Wiki moja iliyopita kulifanyika semina maeneo mbalimbali kwa walimu wa masomo ya English na Sayansi.

Walimu hao kutoka maeneo ya umbali mrefu sehemu tofauti wakakutana kwa siku mbili siku ya jumatatu na jumanne ya tarehe 05 na 06 ya February 2024 japo wengine walikwenda siku ya jumapili.

Cha ajabu mpaka leo hawajalipwa baadhi ya vituo ikiwemo kituo cha muungano (Kwinji) hawajalipwa kwingine washalipwa. Posho walizoahidiwa kulipwa hawajalipwa je kwanini wanaliwaahidi.

Wahusika TIE fuatilieni tatizo hili.
 
TIE ilichowafanyoa walimu Dec 29-30 2023 ni vituko.
Wanaandaa vikabrasha na seminar ili Kupigwa fedha.
Prof Mkenda anaawamgalia TU
 
Back
Top Bottom