Bhikalamba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 2,339
- 3,358
Siyo kweli kwamba vitabu vya kiada (T.I.E) vina kila kitu au vinajitosheleza kwa kila eneo au mada ndo maana tuna vitabu vya ziada na rejea.Kabla hujasema NONESENSE kwa vitabu vya TIE jiulize, mwenye jukumu la kuandaa mtaala ni nani? Na umeangalia mitihani ya NECTA ukakuta iko nje ya vitabu vya TIE?
Mi nafikiri tupime usharo wa vitabu vyao kwa kuangalia mitihani na marking scheme za mitihani ya NECTA Kama ziko nje ya vitabu vyao ndio tuwahukumu
Umeongea kweli kabisa. Inawezekana mtoa mada na wenzake wamekutwa na vitabu kanjanja ambavyo havijathibitishwa na TIE.Siyo kweli kwamba vitabu vya kiada (T.I.E) vina kila kitu au vinajitosheleza kwa kila eneo au mada ndo maana tuna vitabu vya ziada na rejea.
Syllabus ndo inamwongoza mwalimu ni kipi kinapaswa kufundishwa na kipi hakipaswi kufundishwa wala si kitabu. Kitabu ni sehemu ya kufanyia rejea anapo andaa notes pamoja na kuongeza maarifa, kuhusiana na mada tajwa ndani ya syllabus. Kuna mengi yaliyo kwenye kitabu lakini yanaweza yasiwe ndani ya syllabus au kuna yaliyoelekezwa kwenye syllabus lakini usiyakute kwenye text books badala yake unayakuta kwenye reference books.
Ndiyo maana T.I.E pamoja na kuandaa text books huwa wanatoa ithibati kwa vitabu vingine vilivyo hakikiwa kutumika mashuleni kama vitabu vya rejea.
Nikirudi kwa mtoa mada, huenda baada ya ukaguzi wamekuta mnatumia vitabu ambavyo havina ithibati, yaani havijathibitishwa rasmi kutumika kama vitabu vya kufundishia mashuleni. Hii hufanyika ili kuepuka kuwa na vitabu vilivyo na makosa ya kiuandishi au vyenye maelelezo hafifu na yaliyojaa makosa ili kuepuka kumpotosha mwanafunzi au kuleta mkanganyiko kwa walimu. Tafadhalini zingatieni sheria
Siyo kweli kwamba vitabu vya kiada (T.I.E) vina kila kitu au vinajitosheleza kwa kila eneo au mada ndo maana tuna vitabu vya ziada na rejea.
Syllabus ndo inamwongoza mwalimu ni kipi kinapaswa kufundishwa na kipi hakipaswi kufundishwa wala si kitabu. Kitabu ni sehemu ya kufanyia rejea anapo andaa notes pamoja na kuongeza maarifa, kuhusiana na mada tajwa ndani ya syllabus. Kuna mengi yaliyo kwenye kitabu lakini yanaweza yasiwe ndani ya syllabus au kuna yaliyoelekezwa kwenye syllabus lakini usiyakute kwenye text books badala yake unayakuta kwenye reference books.
Ndiyo maana T.I.E pamoja na kuandaa text books huwa wanatoa ithibati kwa vitabu vingine vilivyo hakikiwa kutumika mashuleni kama vitabu vya rejea.
Nikirudi kwa mtoa mada, huenda baada ya ukaguzi wamekuta mnatumia vitabu ambavyo havina ithibati, yaani havijathibitishwa rasmi kutumika kama vitabu vya kufundishia mashuleni. Hii hufanyika ili kuepuka kuwa na vitabu vilivyo na makosa ya kiuandishi au vyenye maelelezo hafifu na yaliyojaa makosa ili kuepuka kumpotosha mwanafunzi au kuleta mkanganyiko kwa walimu. Tafadhalini zingatieni sheria
Soma comment yangu hii Taasisi ya Elimu ichunguzweNa wamejipanga kushirikiana na NECTA pia. Maswali yaliyomo kwenye vijitabu vyao uchwara vya TIE ndio yatakayoonekana kwenye mitihani ya NECTA bila kujali ubora wa vitabu na maswali. Pia wameshirikiana na TPA sijui nani hapo bandarini kuna shehena kubwa ya vitabu imezuiliwa isitoke na kuuzwa shule binafsi ili tu kuhakikisha vitabu uchwara vya TIE vinapata soko.
Soma hii comment yanguVitabu vya TIE si bora? Unavilinganisha na vitabu vipi?
Kabla hujasema NONESENSE kwa vitabu vya TIE jiulize, mwenye jukumu la kuandaa mtaala ni nani? Na umeangalia mitihani ya NECTA ukakuta iko nje ya vitabu vya TIE?
Mi nafikiri tupime usharo wa vitabu vyao kwa kuangalia mitihani na marking scheme za mitihani ya NECTA Kama ziko nje ya vitabu vyao ndio tuwahukumu
KabisaAisee...
Hizi shutuma zinaonesha kuwa wewe ni mhanga, ama wamekufanyia hujuma. Pole mkuu, acha wafuatiliwe ili tujue ukweli.
TIE ndio wanaoandaa mitaala
Vitabu wanaandaa kulingana na mitaala wanayoaandaa
Necta wanatunga mitihani kulingana na mitaala na vitabu vya TIE,, wewe umepata unatumia vitabu gani hivyo unavyosema ni vizuri zaidi ya wanaohusika na elimu?
Huenda hivyo vitabu viko nje ya mtaala
Wacha kutuhumu, ni shule ipi hiyo vitabu vimechomwa?
Ni wapi huko attendance zinachapishwa na TIE?
Hukumwelewa mtoa mada. Yeye kasema vitabu vya TIE haohao watoa ithbati ndiyo vyenye matatizo.Siyo kweli kwamba vitabu vya kiada (T.I.E) vina kila kitu au vinajitosheleza kwa kila eneo au mada ndo maana tuna vitabu vya ziada na rejea.