Taasisi ya elimu imeacha jukumu lake la msingi la kutunga na kusimamia mitaala sasa imejawa na uroho na tamaa ya fedha na biashara haramu
Wanalazimisha shule binafsi zitumie vitabu vyao ambavyo ni below standard...
Hii taasisi ni ile TEA ya pale Mikocheni?Taasisi ya elimu imeacha jukumu lake la msingi la kutunga na kusimamia mitaala sasa imejawa na uroho na tamaa ya fedha na biashara haramu
Wanalazimisha shule binafsi zitumie vitabu vyao ambavyo ni below standard...
Wewe ni beneficiary wa uovu kaa kimya.TIE ndio wanaoandaa mitaala
Vitabu wanaandaa kulingana na mitaala wanayoaandaa....
TEA ni Tanzania Education Authority - Japokuwa sijui majukumu yao ni niniHii taasisi ni ile TEA ya pale Mikocheni?
MACMILLAN BOOKSVitabu vya TIE si bora? Unavilinganisha na vitabu vipi?
Wewe ni beneficiary wa uovu kaa kimya
Shule kadhaa Dodoma na Dar zimepatwa na unyanyasaji huu
Bado zipo nyingi zinaogopa kus ma
Kabla hujasema NONESENSE kwa vitabu vya TIE jiulize, mwenye jukumu la kuandaa mtaala ni nani? Na umeangalia mitihani ya NECTA ukakuta iko nje ya vitabu vya TIE?kiukweli vitabu vingi havina ubora...kuna dogo nilikuwa namsaidia math na geog yupo form 3....daaaah, kuna muda ilibidi niwe natumia uzoefu..eti unakuta topic ya map kwenye kitabu ipo page hazizidi 10....NONSENSE
MhhhhMACMILLAN BOOKS