Taasisi kuwa na watumishi wengi kuliko wanaohitajika

Right3

Senior Member
Aug 16, 2015
194
234
Taasisi kuwa na wafanyakazi wengi kuliko wanaohitajika
Tangu kuingia madarakani serikali ya awamu ya tano, Rais amekuwa akilalamika ukubwa wa mzigo wa kulipa mishahara kwa watumishi wa umma pamoja na wafanyakazi hewa. Ni kweli hili ni tatizo linalohitaji ufumbuzi wa haraka ili matumizi yasiyo ya lazima ya kulipa mishahara yaende kuhudumia wananchi. Kwa mfano CHUO KIKUU HURIA tu kuna maafisa utumishi ishirini na na nane na zaidi wakati shughuli zote za kiutumishi zimekuwa centralized hivyo wanaofanya shughuli hiyo hawazidi watano, wengine wote wamewekwa kwnye vitivo ambako kimsingi hakuna cha kufanya watu wako na dili zao tu. Pia hili limeongeza majungu kwenye kada hii kwani watumishi ni wengi kuliko majukumu ya kufanya hinyo muda wote maafisa hawa ni kulumbana tu.
Essentially vitivo vinatakiwa kuwa na Administrative assistant tu ambao wapo na maafisa pia wapo ilhali mambo yote yakiutumishi wanapeleka ofisi kuu. Na ukichunguza kuna mkubwa mmoja ambaye ameajiri wapare wenzie bila kujali kuna kazi za kufanya au la.
USHAURI: Ifanyike HR Audit taasisi zote za umma ili kugundua kama watumishi waliopo wanatumika ipasavyo au la ili kupunguza watumishi hawa kwa kuwapeleka kwenye taasisi nyingine za kiserikali ambazo zinamahitahi ya kada zilizojaa bila kazi maeneo mengine kuliko kuwaacha wajazane kwenye taasisi baadhi ilhali hawana majukumu na ni kuongezea mzigo usio wa lazima serilkali wa kulipa mishahara na masurufu mengine.
 
Open University Hamna Kitu, Hata Hiyo Centralized System Haiwanufaisha Vema Wanafunzi Wao Maana Wengi Wanalalamika Kwamba Hawapati Notes Na Majarida Mengine Ya Kitaaluma Katika Profile Zao Kinyume Na Wanavyoahidiwa Wakilipa Ada.
 
Hata sekta ya elimu sekondar walimu wa masomo ya sanaa ni wengi sana kuliko mahitaji. Pesa nyingi zinatumika kulipa watu mishaara wakati zingeboresha huduma hiyo. Sijui kwa nini wafanyakazi wa sekta hii hawafanyiwi interview
 
Back
Top Bottom