Taasisi inayosaidia kutoa compyuta walau used au kutengeneza bure program za database ya wanafunzi s

Taasisi inayosaidia kutoa compyuta walau used au kutengeneza bure program za database ya wanafunzi s

mnacho

Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
7
Reaction score
0
Habari zenu. Mimi ni Mwl wa shule ya msingi ya hapa dar es salaam. Namba kuuliza je kuna shirika au taasisi inayosaidia kutoa compyuta walau used au kutengeneza bure program za database ya wanafunzi kwa shule yetu ya msingi? Atakae weza tafadhali anifate inbox plz.
 
mkuu gurta, sio students ila wanaitwa pupils, yaani wanafunzi wa shule ya msingi.
 
Kutunza na kukokotoa taarifa za kitaaluma za wanafunzi. Kuanzia siku ya kuanza darasa la kwanza hadi la saba kuendelea kuitunza kuituza. Pia iwaruhusu washikadau wengine kuangalia maendeleo ya shule kupitia mtandao.
 
Ninyi/wewe mmejipangaje? Yaani mipango yenu ikoje.
 
Tumetayarisha computer room na kuweka umeme
 
Back
Top Bottom