Kwanini Taasisi ya Urais inachezewa sana siku hizi
Kwanini Taasisi ya Urais inachezewa sana siku hizi
Shetani umevimbiwaAsali tamu sana
Jibu PM kwanzaShetani umevimbiwa
Majamaa yatakua yanamwambia bila sisi hizo kura fake ungezitoa wapi.Rais Fake Kapatikana kwa kura Fake na kapatikana kimiujiza yani kura zilipigwa Milioni 32.7 kwa muda wa saa 6 pekee.
Zikahesabiwa ndani ya saa 72 .
maana yake kura 126 zilihesabiwa kwa sekunde 1 na kura 7569 kwa dakika moja tu