mankizzo
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 658
- 523
Sema uliko uposehem gani wesemaNaomba mawasiliano yake nimechiki au ofisi zake zipo wapi jumatatu niende hapo
Sema uliko uposehem gani wesemaNaomba mawasiliano yake nimechiki au ofisi zake zipo wapi jumatatu niende hapo
Watafute mabena investment popote ulipo wapo au topher investmentWakuu mimi ni kijana mjasirimali
Nimepambana kwa muda hatimaye nimepata kaduka kangu kapo mjini kati
Sasa kulingana na pesa zangu za kuungaunga nimeshindwa kujaza mzigo nipige pesa
Nilikuwa naomba mnisaidie ni wapi naweza kupata mkopo wa milioni 2 wa riba nafuu kwa mwanza mjini ili niweke mzigo nipige show
Au mnanishauri aje ndugu zangu