TAARIFA: Zuio la kuuza viwanja kuleta afueni ya gharama

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Lile wimbi la ulanguzi wa ardhi/ viwanja sasa limepata jibu baada ya Wizara ya Ardhi na Mendeleo ya Makazi kutoa tamko la zuio a uuzaji kiholela unaofanywa na Halmashauri nyingi hapa Tanzania, sasa Wizara inajipanga kuja na bei elekezi kwenye Ardhi/Viwanja

index.jpeg
 
Sioni kama uamuzi huu nao utakuwa na tija kwa watu watakaoachia maeneo yao ili kuuzwa na wizara. Na kwa haraka haraka naona kwa mbali kama uamuzi huu unazidi kuziondolea mapato halmashauri za wilaya!
 
tatizo ilikuwa hata ukiomba kununua halmashauri huvipati.. hata kama ukiwa na hela hadi utoe rushwaaa...

kuwe na utaratib mzuri ni bora viwanja vyote vikauzwa na wizara ya ardhi kuliko urasimu wa halmashauri
 
Back
Top Bottom