Taarifa za NIDA

yuga

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
371
255
Wana jf naomba mnisaidie hili maana naamini humu ntapata majibu sahihi.

1. Je kuna mtu amewahi kubadili taarifa zake za nida hasa majina ?
2. Je baada kubadili ilichukua muda gani hayo majina kubadilika kwenye system kias kwamba hata ukisajili line yanatokea majina yako mapya?

Msaada wenu jamani naombeni mnisaidie
 
Utapaswa kulipia 20,000 nadhani na itakuchukua siku 30
 
Back
Top Bottom