Taarifa za Kozi ya Computer Science

Taarifa za Kozi ya Computer Science

eddynotorious

Member
Joined
Oct 20, 2015
Posts
23
Reaction score
2
msaada mwenye uelewa kuhusu hii coz ya computer science katika upatikanaji wa ajila na changamoto zake jamani nawasilisha.
 
Katika swala la kuajiriwa inabidi uwe fiti haswa katika network na information systems kwa codes sio kuziweka ktk CV tu hapo tunababana kwenye experience mkuu
msaada mwenye uelewa kuhusu hii coz ya computer science katika upatikanaji wa ajila na changamoto zake jamani nawasilisha.
 
kuhusu ajira zpo ila inategemea na uwezo wako mkuu, ukiwa mzur kwny koz hii huitaj kuajiriwa mzee mfano mdogo ni wamilik jf mzee watu wanakula maisha simple sana
 
mkuu unaweza pia ukaanzsha company na kufukuzia tender,ela zpo nje nje embu chek hiyo snapsht uone ela znavyopgwa uku kiulain

Capture.PNG
 
kuhusu ajira zpo ila inategemea na uwezo wako mkuu, ukiwa mzur kwny koz hii huitaj kuajiriwa mzee mfano mdogo ni wamilik jf mzee watu wanakula maisha simple sana

Poa mzee
 
Iko poa sana ila cheza na code kwa sana ishu za kutafuta gpa sio matter sana, matter nikujua vitu,!!! Pia cheza na networking, or graphics itakusaidia sana
 
Back
Top Bottom