Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,701
- 6,936
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi alisema Serikali imechukulia shambulio hilo kuwa ni mfululizo wa mkakati wa watu wachache kupandikiza chuki za kidini miongoni mwa watanzania. "Kuna kundi la watu wachache ambao hawapendi kuona nchi yetu ikiwa na amani na wangependa kuona nchi yetu ikiingia kwenye vita ya wenyewe kwa chuki za kidini," alisema na kuongeza kuwa Naibu wake, Perreira Ame Silima yuko Arusha kufuatilia suala hilo na kikosi cha kupambana na ugaidi kimeondoka Dar es Salaam kwenda Arusha kusaidia uchunguzi wa tukio hilo.
Source: Mwananchi, 6/5/2013, ukurasa wa 4.
Maswali:
1. Nchimbi amejuaje kuwa ni mkakati wa watu wachache na sio wengi? Kufahamu idadi ya watu hao sio kuwa anawafahamu na watu wenyewe?
[video=youtube_share;BaJHhlIdXK8]http://youtu.be/BaJHhlIdXK8[/video]
2. sasa uchunguzi wa nini wakati watu wanafahamika?

3. Kumbe kikosi cha kupambana na ugaidi kiko Dar es Salaam peke yake?
4. Mbona picha nyingi kwenye magazeti zinaonesha wachunguzi wenyewe hawana vifaa vyovyote vile vya kusaidia macho yao?