Taarifa ya Mwakyembe ilikuwa potofu ki-mamlaka


L

LATTICE BOND

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2011
Messages
219
Likes
0
Points
0
L

LATTICE BOND

JF-Expert Member
Joined May 30, 2011
219 0 0
Kazi ya Bunge ni kutunga sheria na kuisimamia serikali katika utendaji wake.
Kwa kuzingatia hayo:-
Taarifa ya Mwakyembe ilitakuwa kutoa maelekezo yatakayosaidia kuzuiya tukio kama hilo kujirudia kwa kutunga sheria au kanuni. Badala yake walijikita katika kushambulia watu binafsi bila kujali kuwa kilichopelekea watu hao kutenda yale makosa ni mapungufu katika sheria. Matokeo yake Tatizo kama hilo la Richmond na mengine mengi huenda likajitokeza siku za usoni kwani mpaka sasa hakuna sheria inayoibana serikali dhidi ya maamuzi ya aina hiyo. Kwa mfano tayari bunge lililopita tuliambiwa serikali ipo katika mkakati wa kukodi mitambo ya dharura.
 

Forum statistics

Threads 1,238,775
Members 476,122
Posts 29,330,380