0713 766203
Namba hiyo hapo mkuu!!
Salam wana JF..
Nimefikwa na Msiba wa Baba yangu Mzazi..
Bwana alitoa
Bwana ametwaa.
Amen..
'ndugu zangu mmepewa namba hiyo hapo jamani tumchangieni japo ndugu yetu kwa kumfariji wakuu kutoa ni moyo wakuu,bwana ametoa na bwana ametwaa MUNGU atawalipa kheri nyote,amen'
Pole mzee wa kula kwa tindo
Nashukuru kwa kunipa Faraja mkuu.
God bless all...