M Mwatee Member Joined Jul 24, 2013 Posts 40 Reaction score 3 Aug 27, 2013 #141 kula kwa tindo said: Salam wana JF.. Nimefikwa na Msiba wa Baba yangu Mzazi.. Bwana alitoa Bwana ametwaa. Amen.. Click to expand... pole bwn alitoa na bwn ametwaa jina lake liimidiwe
kula kwa tindo said: Salam wana JF.. Nimefikwa na Msiba wa Baba yangu Mzazi.. Bwana alitoa Bwana ametwaa. Amen.. Click to expand... pole bwn alitoa na bwn ametwaa jina lake liimidiwe
K Kanyamabu Member Joined Jul 19, 2013 Posts 60 Reaction score 7 Aug 27, 2013 #142 Pole sana ndugu!kazi ya mungu haina makosa,tuko pamoja.
K kula kwa tindo JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 1,330 Reaction score 324 Aug 27, 2013 Thread starter #143 Ruzibiza said: pole sana mungu akutie nguvu wewe pamoja na famille yako....tumwombee marehem baba apumzike kwa amani Click to expand... Amen.. Jah bless u
Ruzibiza said: pole sana mungu akutie nguvu wewe pamoja na famille yako....tumwombee marehem baba apumzike kwa amani Click to expand... Amen.. Jah bless u
P Phytoplankton Member Joined Sep 27, 2012 Posts 16 Reaction score 4 Aug 27, 2013 #144 pole sana mku...tupo pa1.
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,550 Reaction score 21,676 Aug 27, 2013 #145 kula kwa tindo said: Salam wana JF.. Nimefikwa na Msiba wa Baba yangu Mzazi.. Bwana alitoa Bwana ametwaa. Amen.. Click to expand... Pole sana
kula kwa tindo said: Salam wana JF.. Nimefikwa na Msiba wa Baba yangu Mzazi.. Bwana alitoa Bwana ametwaa. Amen.. Click to expand... Pole sana
Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 1,996 Reaction score 617 Aug 27, 2013 #146 kula kwa tindo said: Salam wana JF.. Nimefikwa na Msiba wa Baba yangu Mzazi.. Bwana alitoa Bwana ametwaa. Amen.. Click to expand... pole sana comrade Mungu akufanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu kabisa anachopitia
kula kwa tindo said: Salam wana JF.. Nimefikwa na Msiba wa Baba yangu Mzazi.. Bwana alitoa Bwana ametwaa. Amen.. Click to expand... pole sana comrade Mungu akufanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu kabisa anachopitia
Cheche Mtungi JF-Expert Member Joined Nov 14, 2010 Posts 2,619 Reaction score 775 Aug 27, 2013 #147 hii ndio njia pekee ya kwenda kuonana na mungu.
Ukwaju JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 13,384 Reaction score 11,268 Aug 27, 2013 #148 kula kwa tindo said: salam wana jf.. Nimefikwa na msiba wa baba yangu mzazi.. Bwana alitoa bwana ametwaa. Amen.. Click to expand... pole sana mkuu Mwenyezi MUNGU amempenda sana Baba yetu kuliko sisi
kula kwa tindo said: salam wana jf.. Nimefikwa na msiba wa baba yangu mzazi.. Bwana alitoa bwana ametwaa. Amen.. Click to expand... pole sana mkuu Mwenyezi MUNGU amempenda sana Baba yetu kuliko sisi
moto2012 JF-Expert Member Joined Jul 3, 2012 Posts 2,303 Reaction score 1,530 Aug 27, 2013 #149 Pole mwanafamilia mwenzetu
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,835 Reaction score 37,444 Aug 27, 2013 #150 kula kwa tindo said: Amen.. Ubarikiwe kwa kuniunga mkono.. Click to expand... Asante. Tuko pamoja.
Lady doctor JF-Expert Member Joined Apr 13, 2013 Posts 8,756 Reaction score 7,005 Aug 27, 2013 #151 Pole sana kula kwa tindo! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mamaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 5,239 Reaction score 4,742 Aug 27, 2013 #152 Pole mzee wa kula kwa tindo
figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 26,682 Reaction score 59,181 Aug 27, 2013 #153 kula kwa tindo said: Salam wana JF.. Nimefikwa na Msiba wa Baba yangu Mzazi.. Bwana alitoa Bwana ametwaa. Amen.. Click to expand... Pole sana mkuu. Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu. Mia
kula kwa tindo said: Salam wana JF.. Nimefikwa na Msiba wa Baba yangu Mzazi.. Bwana alitoa Bwana ametwaa. Amen.. Click to expand... Pole sana mkuu. Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu. Mia
figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 26,682 Reaction score 59,181 Aug 27, 2013 #154 Lady doctor said: Pole sana kula kwa tindo! Click to expand... Habari yako mkuu. mia Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,835 Reaction score 37,444 Aug 27, 2013 #155 Mamndenyi said: Poleni sana asante kwa hii namba pia copy Bishanga, Madame B, Kongosho, Click to expand... Asante Mamndenyi. Nitajitahidi akirudi niende kumfariji. Unajua sisi Jf tumeshakuwa ndugu moja, majonzi ya mmojawetu ni yetu sote. Asante. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mamndenyi said: Poleni sana asante kwa hii namba pia copy Bishanga, Madame B, Kongosho, Click to expand... Asante Mamndenyi. Nitajitahidi akirudi niende kumfariji. Unajua sisi Jf tumeshakuwa ndugu moja, majonzi ya mmojawetu ni yetu sote. Asante.
Ivonya-Ngia JF-Expert Member Joined Jul 16, 2009 Posts 703 Reaction score 385 Aug 27, 2013 #156 Pole sana mkuu.
Ngonepi JF-Expert Member Joined Jun 2, 2013 Posts 1,872 Reaction score 1,212 Aug 27, 2013 #157 Pole mno, rudi kawaida watoto wa Adam kifo ni asili yetu! Pole sana.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Aug 27, 2013 #158 kula kwa tindo said: Salam wana JF.. Nimefikwa na Msiba wa Baba yangu Mzazi.. Bwana alitoa Bwana ametwaa. Amen.. Click to expand... Pole sana, baba apate pumziko la milele.
kula kwa tindo said: Salam wana JF.. Nimefikwa na Msiba wa Baba yangu Mzazi.. Bwana alitoa Bwana ametwaa. Amen.. Click to expand... Pole sana, baba apate pumziko la milele.
W WANKIE JF-Expert Member Joined Jan 25, 2013 Posts 987 Reaction score 323 Aug 27, 2013 #159 pole sana mkuu!
D Dina JF-Expert Member Joined Sep 18, 2008 Posts 3,248 Reaction score 1,818 Aug 27, 2013 #160 Pole sana mkuu.