Pole sana mkuu. Jipe moyo.
===========================
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu. Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama vile kivuli, wala hakai kamwe. AYUBU 14: 1 - 2
Pole sana ,ni safari yetu wote,baba yetu katutangulia.Bwana alitoa,bwana ametwaa,jina lake lihimidiwe.Mungu aiweke roho ya baba yetu mahali pema peponi,Amina