Mkuu asante ,nashukuru kwa utayari wako..
Nitasafiri kesho kwenda Songea kwa maziko.. Nipo kwenye harakati za kuweka mambo sawa.. Sina ndugu wa Damu Hapa Town ..Ila ninao ndugu wengi wewe ukiwa mmoja wao..
Ubarikiwe sana.
Pole sana mkuu. Jipe moyo.
===========================
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu. Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama vile kivuli, wala hakai kamwe. AYUBU 14: 1 - 2
Hakuna kitu kigumu kama kuondokewa na mtu umjuaye! Uliyemzoea na uliyempenda.
Pole sana ndugu yetu. Mungu akutangulie kipindi chote hiki kigumu kwenu nyote wanafamilia.
Raha ya milele umpe Ee Bwana na Mwanga wa milele umwangazie, Apumzike kwa Amani