Taarifa ya Msiba..

Taarifa ya Msiba..

Salam wana JF..
Nimefikwa na Msiba wa Baba yangu Mzazi..
Bwana alitoa
Bwana ametwaa.
Amen..
Pole sana mkuu Mungu akupe Faraja uweze kuupokea msiba uliokupata.
Vipi kuhusu mazishi na mipangilio mingine kwa walio karibu na eneo la tukio?

 
Pole kiongozi...mauti ni njia pekee ambayo kila nafsi hai itapita! Mungu akupeni nguvu na kukuimarisheni!
 
Salam wana JF..
Nimefikwa na Msiba wa Baba yangu Mzazi..
Bwana alitoa
Bwana ametwaa.
Amen..
Pole sana mkuu. Jipe moyo.
===========================

Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu. Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama vile kivuli, wala hakai kamwe. AYUBU 14: 1 - 2
 
Pole sana Mkuu, kazi ya Mungu haina makosa
 
Tulimpenda sana ila mungu kampenda zaidi....Roho yake ilale pema peponi..AMEN...Pole ndugu kwa kumpoteza baba ila farijika kwa kuwa mungu amempa tuzo mbinguni.
 
Back
Top Bottom