Taarifa ya kukosekana umeme

Kinachotia hasira zaidi ni kuna mijitu bado inashabikia CCM.
Oooh nashukuru Mungu sijawa Osama ningelipua hawa wangese wote
 
Jamani ili jambo so la kukimbilia kulaumu shirika au serikali tuwapeni muda kama tulivyovuta subira toka Uhuru hadi leo kitu kitakuja fanyika tu
 
Je, Vp Kuhusu Kutwa Ya Leo Na Usk Huu?? Maana Kwetu Tupo Gizani Tu!!!
 
umeme wa gesi umeishia wapi tanesco?
 

Kama Lowassa ambaye ni mbunge wa kawaida analeta shida ya umeme na rais wa nchi na waziri mkuu yupo na wamekaa kimya, unadhan hapo tunaye rais??? Au ndio udhaifu??
 
Kwa hili la kukatika kwa umeme kipindi hiki kisichokuwa na wabunge wa kutusemea, bila kujali maelezo yeyote ya tanesco, ccm wake wakijua Kuwa tendo hili linawapunguzia kura hapo targeted 25 Octoba. Magufuli Amka, tanesco inakuhujumu!!!!!!.
 
Mimi nawashauri wazime mitambo kabisa na kusiwepo na hata huo mgao.
 

pole sana mkuu kwa mawazo mgando kama hayo, enl sio kiongozi serikalini mwaka wa nane sasa, lakini bado unamuhusisha na serikali yenu iliyochoka
 

Its a slow process. u mean from 1977 up to now?
 
magumashi tupu..iko siku yutasahau..mara ooh gesi na waziri simbachawane akasema ilibidi tusimame dakika moja kujipongeza ..ss leo eti maji ya kuendeshea gridi ya taifa bla bla bla..pambaf uongo mtupu
mmefeli kabisa
 
Na siku hizi habari ni gesi tu! vipi kuhusu maji ya Mtera na Kidatu?
 
viatuvirefu waelezee tanesco kuwa usiku huu kuanzia saa moja kasarobo hadi sasa hakuna umeme
 
Kwa haya yanayoendelea na bla blah za Waziri na MD wa TANESCO, ilipaswa wote wawe wamejiuzulu kwani waliwaaminisha watanzania uongo mkubwa sana. Walifikia hatua hata ya kubadilisha agenda kutoka upatikanaji wa umeme kuwa bei ya umeme; kwamba baada ya kuwa na umeme wa uhakika wa gesi, sasa umeme kushuka bei.

CCM kama hamshtukii mchezo huu, ni wazi hamtakuwa na uwezo wa kushtukia uozo wa nchi hii hata hapo mkipewa tena nchi hii. Haiwezekani mgao mkali kabisa uwe mwaka huu tena ktk kipindi hiki tukielekea Uchaguzi Mkuu. Ni kwa nini enzi ya Prof. Mhongo umeme at least ulikuwa stable?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…