Anthomarselian
Member
- Apr 18, 2010
- 63
- 8
ukitumia maji,gesi au nyuklia hitilafi ni hitilafu umeme utakatika tu.
Vipi kuhusu ile gesi......?........nini kimetokea tena.......?....
use your head.
Wengi wanajifanya wajuaji lakini hawaoni hilo. Kweli kipindi hiki cha uchaguzi CCM wakubali umeme ukatike hovyo??!!
kuhusu gesi...ule mtambo unawashwa kwa phase..hauwezi ukawashwa kwa capacity yake yote...slowly mpaka utakapo fika full capacity. Kwa hiyo kuwa mpole. Mchana mwema.
Amesema hitilafu imerwkebishwa lakini bado kuna maeneo mengi haya umeme kwa sababu ya upungufu wa maji.. So swali la gesi ni valid bado
Asante.......
Jioni wapi tupate hata kinywaji baridi tuondoe hili joto........
Vipi kuhusu ile gesi......?........nini kimetokea tena.......?....
Kama hawakubali kwann unakatika huo umeme?
Swali lake la gesi lifatia tamko lilitolewa last month kwamba walikuwa wanatest mitambo ya gesi ubungo na umeme utakuwa wa UHAKIKA.. hilo ni tangazo lilitolewa .kigumu kuelewa hapo nn?Kwa mujibu wa taarifa yao ni hivi: Kukatika kwa umeme maeneo mengi ya nchi ni sababu ya hitilafu njia kuu HALE walivyorekebisha hilo tatizo umeme ukarudi[ulikatika saa 10 au 11 usiku ukarudishwa saa 1 asubuhi hivi]. LAKINI kuna maeneo bado yatakosa umeme kwa sababu ya upungufu wa umeme unaotegemea maji. Kwa maana hio mgao fulani. Gesi ianzalisha MW zake zile zile ambazo haziwezi kutosheleza nchi nzima.
Nini kigumu kuelewa hapo. Siasa nawaachia nyinyi mimi siziwezi ila nimetafsiri tu huo ujumbe.
Kateni tu
-->>eti ile mitambo ya gasi ni USED?
somewhere?/ can't works work wells
Hatuwaelewi tushike lipi? Maji or Ges