Alikua anajiita Mr......(nimemsahau jina, miaka ya nyuma kidogo, km sikosei MR. Bond).......
Na hii ni taarifa ya ajabu kutoka radio ahera mbinguni! Habari kamili.........
Akimaliza anakuja na habari za vifo, utasikia... "ndugu mpunga wa shambani, anasikitika kutangaza kifo cha mjukuu wake Ndugu Wali, kilichotokea jana, hapo mdomoni kwa ajali ya meno. Habari ziwafikie, ndugu mchele wa hapo ghalani, ndugu ubwabwa...... shangazi wa marehemu ndugu nazi. Na jamaa wote wasiowafahamu. SIRUDII".
He was funny. Alikua banned na serikali na kaseti zake zikatolewa sokoni..... Acha tu tumkumbuke Nyerere.........