Taarifa ya habari ya ITV leo coverage ni Christmas tu

Taarifa ya habari ya ITV leo coverage ni Christmas tu

Sasa kama ndizo zimetokea sana ukitaka waweke zipi... yaani ninyi msipoona taarifa ya upande ule basi siku hiuo hamhesabu kama kuna taarifa imesomwa
Hakuna kitu kama hiko kuna habari nyingi sana na kuna matukio mengi yametokea eg. morogoro kumetokea mauaji
 
We ulitaka watangaaze IDD Mubaraka,
Hyo siimepta ndungu au?
 
Kwahiyo ulitegemea leo tv zirepoti kugombea msikiti wa mtambani? umefunguwa CNN?
Chuki hudumaza maarifa....hujui ata wapi nimesimamia na wala hujui niko kundi lipi
 
Hata mimi nimeshangaa kweli. Huku kwetu mngeta tangu jana askari wa JKT kambi ya Chita wanapambana na wananchi kugombea adhi. Inasemekana kuwa kuna watu wameuawa na wakuu wa majeshi na mawaziri wameenda huko leo asubuhi, lakini inaonekana sio story ya maana
mbona Mimi nimeshiba pilau Leo na hawajanitoa
 
Hata mimi nimeshangaa kweli. Huku kwetu mngeta tangu jana askari wa JKT kambi ya Chita wanapambana na wananchi kugombea adhi. Inasemekana kuwa kuna watu wameuawa na wakuu wa majeshi na mawaziri wameenda huko leo asubuhi, lakini inaonekana sio story ya maana

Sasa kama waandishi mnawaweka ndani , unauhakika gani kama hiyo ripoti ingemfurahisha DC wa eneo husika na kumnusuru mwandishi? Heli nusu shari
 
I'm getting sick of her! Like personally I really don't care. I wish the media would just stop talking about her!
 
Ila jamaa ni wavivu saana sometimes kutafura habari jaribu kufuatilia habari za kimataifa huwa ni moja tu, hivi kweli ndio mwisho wao hapo?!
 
Leo nimeangalia TV imaan yaani habari zoote ni za dini tu. Tena ya kiislamu. Hata habari za krismas kusheherekewa Bukoba hawakuionyesha.
 
Sasa kama waandishi mnawaweka ndani , unauhakika gani kama hiyo ripoti ingemfurahisha DC wa eneo husika na kumnusuru mwandishi? Heli nusu shari
Ukiripoti habari za uchochezi lazima uwekwe detention
 
Back
Top Bottom