Taarifa ya habari tbc

Taarifa ya habari tbc

amigod

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2018
Posts
345
Reaction score
264
Habari zenu jf
Huyu mgeni wa tbc kwenye taarifa ya habari anasema nchi ina wagonjwa wa korona 200 kwa sasa wanajulikana ni wagonjwa walitoka nje ya nchi tu hili limekaaje? Ama sikusikia vizuri ama amepotosha umma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤔🤔 😥🙄😏🚶🚶
 
Ameongea ukweli mtupu, ulitakiwa umpigie makofi! Niliwahi kuandika hapa kuwa kuna nchi fulani Afrika mashariki Corona ikiingia kwenye hiyo nchi serekali itaficha takwimu ila watu walikuwa hawaelewi namaanisha nini!
 
Back
Top Bottom