Taarifa ya gazeti la MwanaHalisi juu ya Ben Saanane na uhalisia wa mambo

kula like mwana. Porojo nyiiingi vitendo zero.
Lakini sishangai kwani wamebobea kwenye propaganda chafu.
 
Mleta uzi unaweza kutuambia Joshua Mulundi wa afande Kova yuko wapi!!!!!

Tunajua harakati za mwigulu katika siasa za tanzania. Kuanzia Ndago hadi mapango ya Amboni.

Serikali ya ccm inatafuta justification ya kuzuia shughuli za kisiasa.
 
Ni kwa nini msiweke hapa hiyo taarifa badala ya kupiga maneno matupu?
Tutawaaminije bila kuona kithibiti? By the way inaweza ikawa imepikwa kama walivyopika ile ya Mkuu wa kaya kushinda ile tuzo kule Kenya wakati si kweli
 
Usilukie soma maandiko yote utaona hayo.
Ni kwa nini msiweke hapa hiyo taarifa badala ya kupiga maneno matupu?
Tutawaaminije bila kuona kithibiti? By the way inaweza ikawa imepikwa kama walivyopika ile ya Mkuu wa kaya kushinda ile tuzo kule Kenya wakati si kweli
 
Mi naona nyota nyota tu ngoja nisubiri Ben atoke anitoe tongo tongo nilizonazo sasa
 

Kimsingi ulichoandika kuhusu CDM na Ben saa8, hakina tofauti na unachokifanya wewe na dhima nzima ya post yako. Yaani hakuna ushahidi wa unachokisema na ukiambiwa uthibitishe utaanza bra bra...na vivohivyo kwa CDM. So wote nyinyi ni opportunists, watu wa siasa za majitaka na propaganda za uongo uongo kufanikisha mnachhokitaka.

Ujinga wenu unawadanganya kwamba wa tz ni wajinga sana So u may play our minds whenever u wish.
 
Comedown man and understand the issue. I will never become opportunistic for nothing but I shall stand with my own minds to make the world good place for you and others.

Tell Mr. Mbowe to free your minds and you will be able to the world.
 
Hiyo Waache Waandamane ilikuwa wakati wa Jk Siku hizi Kama Wana dukuduku wanaishia kutengeneza Tishert na Hashtag za kueleza hisia. Hakuna wa kutumbukiza Kwato yake barabarani kuandamana !
Wanafahamu kua wakitia pua barabarani watajua ni kwanini kisigino hakikai mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…