Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
Akili yako haitoshi kufanya utafiti...mbaya zaidi, kutafiti IQ za watu. Mimi nitakwambia kwa nini.Bavicha bhana!!! Wanakaa kimyaaaa siku wakiibuka utasikia operation, maandamano oh kupambana Na polisi. I wish ningepata fursa ya kutafiti IQ ya vijana 5000 waliosemekana kuwa tayari kwenda Dodoma .
Hivi karibuni limetoka katazo la harakati zote za kisiasa kwa upande wa upinzani. Kwa katazo hilo, ulitaka BAVICHA uwaonee uwani kwako wakija kukusaidia kuanika nguo kwenye kamba? Hiyo ndio IQ yako...unataka kuchunguza wenzio!