Hayo yanatoka wapi? Kwani Zito anafanya kazi kwa ajili ya hao ulio wataja? Acha ujinga wako.Piga Zitto hakika wewe ni jembe kichwa chako kimoja ni sawa na vichwa vyote vya UKAWA watajuta kukupoteza manake tumewaona wapinzani kipindi hiki wanakimbilia hoja za Zitto ili kujipatia umaarufu hakuna cha Mbowe,Lisu,lipumba,Mnyika,Lema,Msigwa,Wenje wala cha nani wote hao wanaangaika kutembelea nyota yako ili kujipatia umaarufu wao na vyama vyao vyenye sera za ukoka toka wakufukuze wanajuuuta manake kwisha habari yao hawana hoja