Taarifa Rasmi ya Chama cha ACT Wazalendo Juu ya Chaguzi za Marudio

Ziitto badala ya kudai tume huru ya uchaguzi yeye anapendekeza kwa rais minimum reforms za hapa na pale kwenye tume ya uchaguzi. Namna hii upinzani tayari hauna msimamo wa pamoja kwenye tume ya uchaguzi...
Sasa mnadai tume huru wakati chama chenu chenyewe sio huru, what if kuna members wa ccm uko ndan?
 
We unaamini kwa yakini kabisa kwamba Maalim Seif alikuwa anataka awe Rais wa Zanzibar?
 

Mkuu katika akili yako unafikiri kabisa CCM wanaweza kutuletea tume huru kwa kuwadai?
 
Kwenda Mahakamani ni suala la kisheria na ni demokrasia na haki ya Mgombea ambaye hakuridhika na matokeo ya Uchaguzi wowote ule, yawe Matokeo ya Uchaguzi Mkuu au Uchaguzi Mdogo wa Ubunge na Udiwani kama huu uliofanyika tarehe 16/05/2020 na Mahakama itatoa maamuzi ya haki. Kuhusu kudai Tume Huru ya Uchaguzi, hiyo imo kwenye Mamlaka husika yaani Rais kama aliyosema Vyama na Wadau wa Uchaguzi wavute Subira kuhusu kutoa maamuzi ya suala hilo kwa kuendelea kupitia Katiba Mpya pendekezwa. Kwa hiyo hata kama ACT -Wazalendo wameandika barua kwa Mhe. Rais, majibu ni yaleyale vuteni subira mpaka hapo atakapoamua mwenyewe kushughulika na Katiba Mpya ambayo imo sehemu iaelezea Tume Huru ya Uchaguzi.
 
Suala la kwenda Mahakamani ni suala la kisheria na ni Demokrasia na na Haki ya Mgombea yoyote wa Chama cha Siasai ambaye haridhiki au hakubaliani na matokeo ya Uchaguzi , aidha yawe ya Uchaguzi Mkuu, Uchaguzi Mdogo wa Ubunge na Udiwani kama Chachaguzi Mdogo uliofanyika tarehe 16/05/2021. Kwa hiyo Kama ACT-Wazalendo wana ushahidi wa kutosha na hawariziki na matokeo ya Uchaguzi ruksa kwenda Mahakamani wakatafute haki yao. Kuhusu kuandi Barua kwa Mheshimiwa Rais kuhusu Tume Huru na Katiba Mpya, Rais ameshasema vuteni Subira kuhusu Katiba Mpya ambayo imebeba sehemu inayoeleza Tume Huru ya Uchaguzi. Kwa hiyo, hata kama ACT-Wazalendo wamemuandikia Rais Barua inayoeleza Katiba Mpya majibu ni yale yale ya vuteni subira .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…