Kinachotuponza ni abundant love to give away na roho nzuri za kupindukia when it comes to love giving and sharing, as well as money using, spending and give away!, nadhani hata yule Mzee JR, japo ni wa kabila lile, ila ule mgao wa escrow ni uthibitisho kuna rafu ilichezwa, pale kuna damu ya "chapa ng'ombe!"
Pascal