Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,225
- 128,987
- Thread starter
-
- #41
Ni kuchanganya tuu majina, na sio peke yako, wengi wanatuchanganya!, mimi ni Pascal Mayalla na yule ni Pasco wa jf!.Hata mimi ndio nilikuwa najiuliza mbona Pasco mayala id yake ni pasco nashindwa kuelewa huyu pashal mayalla nani tena au ndio mambo ya multiple ids.
They sound the same, and the people are look alike, but ni watu wawili tofouti kama tulivyo mimi na mii (me & I)me n I,means pascal ndio pasco
Ni kuchanganya tuu majina, na sio peke yako, wengi wanatuchanganya!, mimi ni Pascal Mayalla na yule ni Pasco wa jf!.
Pascal
Mkuu Captain Phillip, asante kulikumbushia hili, mimi ni verified member tena contribution yangu jf, tangu nilipojiunga ulikuwa ni six figure!, sasa mwaka huu nimefulia, sikujua kuwa nimekuwa scrapped hata ile verified status yangu!.Mkuu wewe ni verified member wapi?Mbona sioni hapa verification status kwenye username yako kama ilivyo wengine?Au umejiverify mwenyewe Bwana Pasco?
Kuna uhusiano gani kati ya paschal mayalla na Pasco wa jf.
Hii style ya kuanza na "Wanabodi" ni identity tosha sana!!Wanabodi,
.....
.....
.....
.....
Mkuu si ukubali tu yaisheee!!!??? Ona tena......!!! Ngumu sana kuficha uandishi wako kiongozi....Mkuu Captain Phillip, asante kulikumbushia hili, mimi ni verified member tena contribution yangu jf, tangu nilipojiunga ulikuwa ni six figure!, sasa mwaka huu nimefulia, sikujua kuwa nimekuwa scrapped hata ile verified status yangu!.
Thanks kujijulisha.
Pasco
Mkuu si ukubali tu yaisheee!!!??? Ona tena......!!! Ngumu sana kuficha uandishi wako kiongozi....
nimekuja fasta nikajua KUNA NAFASI ZIMETOKA ZA KUKAIMU KITI
Nimekusoma mzee wa Media.Ni kuchanganya tuu majina, na sio peke yako, wengi wanatuchanganya!, mimi ni Pascal Mayalla na yule ni Pasco wa jf!.
Pascal
Wanabodi,
Leo asubuhi, nimeamshwa na simu za pole!,
Kisa chenyewe ni hiki!.
Ni majina tuu yamefanana!.
Nawaombeni wote walionipigia simu za pole, wish me and my lovely wife, a long life!
Nampa pole wajina!.
Pascal
Hahaha...sijui kwa nini nimejikuta nacheka sana. paschal mayalla na Pasco ni watu wawili tofauti. Na hawajuani. Wote ni member wa jf. Isipokuwa paschal mayalla akiona uzi umepandishwa na Pasco, hatii mguu kuchangia. Pasco nae akimwona paschal mayalla kapandisha uzi, hatii mguu. Lakini kwa nyakati tofauti wote wawili huenda Monduli kwa mzeePole sana kwa usumbufu Mkuu Pascal Mayalla, bila shaka huyo wajina wako atakuwa ni Pasco wa JF maan naona hajatia mguu katika huu uzi huenda bado yuko msibani.
Nimeipenda mno hii na nimecheka hapa hadi mgombea mwenza akabaki kushangaa tu...sisi wa kule kanda ya ziwa hata huku ughaibuni wanatujua na issue zetu..anyway pole sana ndugu yangu Pascal kwa hayo maswahibu..hao wajina wako huko wako wengi sana.Masai Dada, kwa sisi wa pande zile kula ninakotoka, usiwe na wasiwasi wa kukaimu, karibu tujumuike wote, wengine hatuna mwisho!, na kama ni kweli wewe ni binti wa Kimasai, then utakuwa hauna wivu, hivyo unaweza kujumuika na wenzio na amani ikawepo!, tuwasiliane kwa PM kwa ajili ya utekelezaji!.
Pascal
Mzito K, bahati nzuri tunajuana, ila mimi sijawahi kufika Monduli!, ila sijui labda mwenzangu. Kwa vile yeye na mimi is just like me and I, then na yeye atakuwa hajawahi kufika Monduli, kwa sababu angekuwa ameishafika, angeishaniambia.Hahaha...sijui kwa nini nimejikuta nacheka sana. paschal mayalla na Pasco ni watu wawili tofauti. Na hawajuani. Wote ni member wa jf. Isipokuwa paschal mayalla akiona uzi umepandishwa na Pasco, hatii mguu kuchangia. Pasco nae akimwona paschal mayalla kapandisha uzi, hatii mguu. Lakini kwa nyakati tofauti wote wawili huenda Monduli kwa mzee
Kinachotuponza ni abundant love to give away na roho nzuri za kupindukia when it comes to love giving and sharing, as well as money using, spending and give away!, nadhani hata yule Mzee JR, japo ni wa kabila lile, ila ule mgao wa escrow ni uthibitisho kuna rafu ilichezwa, pale kuna damu ya "chapa ng'ombe!"Nimeipenda mno hii na nimecheka hapa hadi mgombea mwenza akabaki kushangaa tu...sisi wa kule kanda ya ziwa hata huku ughaibuni wanatujua na issue zetu..anyway pole sana ndugu yangu Pascal kwa hayo maswahibu..hao wajina wako huko wako wengi sana.