Wapi mkuu??Wenzio wanauza chini ya laki mbili.
Au za kwako zimetoka India??
Wanao toa bure ndy wap mkuu au wanao kopesha?Wenzangu Akina nani mkuu, lakini unaweza kununua hata Hao wanaouza bei hizo pia wapo wanaotoa BURE. Karibu.
Wafanya biashara wenzio.Wenzangu Akina nani mkuu, lakini unaweza kununua hata Hao wanaouza bei hizo pia wapo wanaotoa BURE. Karibu.
Kwenye hii biashara Nina muda mrefu kidogo sio sana, kwa uzoefu wangu hauwezi kuuza mashine na system kwa chini ya hiyo laki mbili ukaendesha kampuni, labda uendeshe kimamagumashi, Kuna vitu mteja atavikosa na unaweza kushindwa kumhudumia baada ya malipo ya awali.Wafanya biashara wenzio.
Hao wanaotoa bure watakuwa na lengo lao la kuwala watu.
Mashine ni ya biashara halafu mtu atoe bure serious?
Bure wanatoa mfumo,ambapo unalipia kila mwaka kama kawaida.Wafanya biashara wenzio.
Hao wanaotoa bure watakuwa na lengo lao la kuwala watu.
Mashine ni ya biashara halafu mtu atoe bure serious?
Nimeona kweli,wengi bei yao ni humo humo ulipoitaja.Kwenye hii biashara Nina muda mrefu kidogo sio sana, kwa uzoefu wangu hauwezi kuuza mashine na system kwa chini ya hiyo laki mbili ukaendesha kampuni, labda uendeshe kimamagumashi, Kuna vitu mteja atavikosa na unaweza kushindwa kumhudumia baada ya malipo ya awali.
Gharama za uendeshaji ni kubwa ndio zinapelekea bei hizo mkuu.
πππ duh maajabuZipo mkuu ukifuatilia ila kumbuka hii ni masine ya biashara alafu unaipata Bure, yaan kitu ulichokuwa unapata kwa laki sita alafu ghafla unapata bure au kwa laki moja! Kuwa makini kidogo
Yes lazima upate hela mkuu, kuendesha system ambayo angalau ina watumia 10,000 na angalau 1000 wako active kila wakati na system isizidiwe sio rahisi mkuu.Bure wanatoa mfumo,ambapo unalipia kila mwaka kama kawaida.
Ukitaka mashine ndo unauziwa