Mkuu Teleskopu, kizuri kula na nduguyo, sasa hii taarifa si iko kwa langweji ya mama? asa nduguzo tutaarifika vipi, hebu fanya mpango wa kuitransleti nasi tutaarifike.uisahau kusoma taarifa ya huyo mtu mkuu kama inawezekana
Sawa mkuu AbouZakariya asante kwa kuuliza. Nafanya hivi kwa sababu nikiweka kama ilivyo zinafutwa. Lakini inasema hivi - Huyu ni nesi aliyefanya kazi kule Nashville Marekani kwa miaka 24 sasa. Anasema I can tell you first hand that there definitely IS a medical conspiracy going on, yaani: Naweza kuwaambia kutokana na niliyopitia mwenyewe kabisa kwamba KUNA siri inayoendelea kwenye idara ya afya.Mkuu Teleskopu, kizuri kula na nduguyo, sasa hii taarifa si iko kwa langweji ya mama? asa nduguzo tutaarifika vipi, hebu fanya mpango wa kuitransleti nasi tutaarifike.
Ahsante, sasa mimi na baadhi ya nduguzo tushataarifika japo kwa ufupi.Sawa mkuu AbouZakariya asante kwa kuuliza. Nafanya hivi kwa sababu nikiweka kama ilivyo zinafutwa. Lakini inasema hivi - Huyu ni nesi aliyefanya kazi kule Nashville Marekani kwa miaka 24 sasa. Anasema I can tell you first hand that there definitely IS a medical conspiracy going on, yaani: Naweza kuwaambia kutokana na niliyopitia mwenyewe kabisa kwamba KUNA siri inayoendelea kwenye idara ya afya.
Anasema: Tuliwaamini wakubwa zetu lakini nimegundua kuwa wamekuwa waongo kabisa. Wamekuwa wakijadili (suala la chanjo) kwa data zilizopotoshwa. Wanatuambia tuwape watu dawa ya Remdesivir, wakati ilishaua wagonjwa wengi wa ebola. Madhara mengi sana ya chanjo hayatajwi. Lakini mimi nimeyasoma yote.
Hicho ndicho anachosema mkuu Abou.