Taarifa: Mwenye namba 0692 242 138 ni tapeli

Taarifa: Mwenye namba 0692 242 138 ni tapeli

Huyo amesajiliwa kwa jina Fyness Chirwa, birthdate 20/03/1980,* passport, id number 366519, country Malawi
 
Mwingine huyu hapa wakuu juzi kanipigia kanieleza hivo hivo kama alivyokueleza wewe ila nlimjibu mbovu akakata cm 0756175344
 
Huyo amesajiliwa kwa jina Fyness Chirwa, birthdate 20/03/1980,* passport, id number 366519, country Malawi
Nadhani kwa hizi taarifa ulizotoa mkuu zinatosha kabisa kwa vyombo vya dola kumtia 'nguvuni'..
Polisi kazi kwenu sasa
 
Huyu raimundo hii tabia sijui ataiacha lini juzi yenyewe kamchomolea jamaa Wallet wamekimbizana kweli lakini raimundo akamzidi jamaa mbio
 
Back
Top Bottom