Taarifa muhimu kwa watumiaji wa pdproxy nchini

Sadru

Member
Joined
Sep 12, 2011
Posts
23
Reaction score
4
Ni miezi kama 8 sasa nchini tanzania tumejipatia njia mbadala ya huduma ya internet.haijalishi ulianza kupata huduma hii kwa shiling ngapi kwa mwezi.ila sasa utaweza kuipata huduma hii inayojumisha pdproxy tunnelguru na nyingine nyingi kwa shiling 7000/= kwa mwezi.
kinachofanyika ni kwamba kuna option mbili unaweza ukatengeneza acount yako mwenyewe ambayo itakua ni trial account ovias.then unanipa user name na paswd yako ni aktivate the wewe una pay shling 7000 tu kwa mwezi.
option ya pili ni unauziwa acaunt ambayo ishatengenezwa tayari ambayo inakua iko full loaded 30days for unlimited use.
ukiwa interested tunaweza fanya biasha kama utaiona hii ni fursa ya kibiashara .mfano unawateja wako 20 then mi nakuuzia kwa 7000 kwa mwezi we unatajua bei utayotaka kuwauzia.
more info 0688148836
 
nimeipenda bei yako but mi ninayo account kitambo so nahitaji vocha code 2
 
hehe safi sana kijana.. hapa sasa patamu,nasubir ifike hadi buku 2 nami nianze kununua.
 
  • Natafakari huenda nikairudisha hii offer yangu. Na ikawa official price.
    Code:
    [URL]https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/536090-offer-tunnelguru-vouchers-and-pd-proxy-vouchers-for-only-6500-each.html[/URL]
  • Karibu
    Code:
    [URL]https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/501756-jipatie-pd-proxy-premium-account.html[/URL]
 


:sad:
HAPO TUTAENDA SAWA KAMA UARUDISHA KALE KA BEI KA TSH 6500/=
 
yaani ulivyosema taarifa muhimu nilifikiri sijui kuna habari gani kumbe yale yale kuuziana vocha ok kila la kheri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…