Kirchhoff
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,939
- 8,883
Salaam,
Kwanza niwashukuru kwa kufungua udahili maana mlituweka roho juu wana wa wenzenu.
Napenda kutoa taarifa ya kuwepo mapungufu kadhaa katika cas/noas kwa waombaji wenye stashahada.
1. Baadhi ya Kozi zilizopo kwenye Guidebook hazipo sehemu ya machaguo ya Kozi kwenye mfumo. Mfano; Bachelor Degree of Education with Mathematics and Information Technology ya National Institute of Transport.
2. Jina la Kozi kukosewa. Mfano; Bachelor of Arts with Education (Mathematics & IT) kwenye mfumo na Bachelor of Science with Education (Mathematics & IT) kwenye guidebook - Ruaha University.
3. Ukichagua kozi yanakuja maelezo ya kozi nyingine tofauti.
Labda pia kuna matatizo mengine, muyaangalie. Maana Deadline imekuwa karibu sana. Watu wa Diploma wamepewa wiki mbili huku F6 wakipewa miezi miwili.
Pia Simu zenu hazipatikani na email basi mzijibu wapendwa ili tupunguze malalamiko humu.