Taarifa: MMAHE anaumwa!!

Nafahamu hlo mkuu. Mpe pole sana.Mwambie kuwa nimemuweka kwenye maombi.Awe na Imani kuwa amepona.

Amen! Tunamshukuru mungu kwa kila jambo, hali yake sasa inaanza kuimarika.
 

She is now recovering... bado kichwa kimuuma uma kidogo!! tunaamini mpaka jioni atakuwa vizuri zaidi, na mungu akipenda! kesho anaweza kuingia job..amen
 
Last edited by a moderator:
Pole sana MMAHE, Mungu atakuafua
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…