TAARIFA - Mlinzi wa shule ya Scolastica kunyongwa hadi kufa!

TAARIFA - Mlinzi wa shule ya Scolastica kunyongwa hadi kufa!

Sema Tanzania

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2016
Posts
251
Reaction score
466
TAARIFA: Mahakama Kuu imemhukumu kunyongwa mlinzi wa shule ya Scolastica, Hamis Chacha kwa kumuua mwanafunzi, Humprey Makundi huku mmiliki wa shule, Edward Shayo na mwalimu wa nidhamu, Labani Nabiswa wakifungwa jela miaka minne kila mmoja wa kosa la kuficha ukweli wa kifo hicho⚖️
 
Miaka minne, miezi 48.
Atatumikia 2/3*48= miezi 32.
Weka msamaha was Raid Tania njema, kuaminika na jamii bla bla bla... .
Shayo kashatoka jela tayar
 
Back
Top Bottom