Taarifa kwa wote ambao wanataka kujiunga na Graduate Vikoba

Taarifa kwa wote ambao wanataka kujiunga na Graduate Vikoba

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
930
Reaction score
1,300
Wakuu habari zenu.

Kupitia tangazo lenye maudhui" Graduate Vikoba" uzi wa tarehe 1/04/ 2014. Sasa natoa taarifa kwa wote ndugu zangu waliothibitisha na ambao bado hawajathibitisha juu ya ushiriki wao kwenye kikao cha kuunda Graduate Vikoba, napenda kuwataarifu kuwa wadau wote tukutane.

MAHALI: Nakiete Phamancy - Mwenge(DSM),

MUDA: 4:00 asubuhi,

SIKU: Jumamosi hii,

TAREHE: 5/04/2014,

MAWASILIANO: 0717 309119,

UJUMBE: "USISUBIRI TUANZISHE, KUWA MIONGONI MWA WANAOANZISHA"

ASANTENI
 
wa mikoani muanzishe vikoba yenu huko huko mkoani!
 
Xaxa mkoan ndio wapi chaukucha?!, vikoba mnaijua kweli nyie?, mie simo wa mkoani
 
Hii issues imekaa kisiasa au kutakuwa na mkono wa Mwanasiasa,Wasomi hacheni kutumiwa na wanasiasa kuwabuluza wenzenu hatimaye Mwenyekiti na katibu,mjumbe ndio wananufaika,development it is individual effort
 
Back
Top Bottom