Taarifa kwa waliolipa M pesa Activist Organization

Taarifa kwa waliolipa M pesa Activist Organization

kigumbe

Senior Member
Joined
Oct 26, 2013
Posts
168
Reaction score
63
Wadau,

Napenda mjue kuwa wapo watu wengi waliolipa hela kwa njia ya M pesa kwa bwana anaitwa Shirima kwa ajili ya certificate verification, wakaambiwa watapata barua za mkataba wa kuwa Civic Education Voters, ila mpaka leo siku ya deadline yao bado hawajatoa hizo barua na bado wametoa tangazo la extension hadi tar 23 August. Hawajibu SMS wala kupokea simu. Kama kuna mtu mwenye taarifa zaidi ya watu hawa atujuze.

Nawasilisha.
 
Tulishawaonya msitume hela hao ni matapeli mkakaidi mkajiona ni imara zaidi,wajanja zaidi na mnashida zaidi ya Nazi.Sasa nawataalifu rasmi kuwa MMETAPELIWA hao jamaa hawana ofisi wala choo ni tapeli tu kacheza na akili za wenye tamaa ya kazi
 
Huyo mtu alietumiwa hela yuko polisi kuanzia juzi wanamhoji kasema kashatapeli over watu 400 ameshakula more than 22mil
 
Kuna thread ukipitia hapa hapa jamii forums hao ni kundi la matapeli hawana hata ofisi na walianza kutangangaza hizo kazi za uongo na kula pesa za watu tokea january mwaka huu poleni na kwa akili ya kawaida huwezi lipwa mill 4 kwa mwezi kwa kazi yao hiyo hata kama ni kweli hawawezi kukwambia uwatumie elfu 50 tena kwa mpesa eti kuhakiki vyeti and then they will pay u an attractive salary tena kwa akili ya kawaida hao ni matapeli balaa afu sijui kuanzia mwezi wa kwanza TCRA ilikua inafanya nini
 
Back
Top Bottom