Nilichagua UDSM na SJUCET
Mimi sina ufahamu sana Wa mambo Haya.ila jaribu kutembelea websites zao
Nilichagua UDSM na SJUCET
Mimi sina ufahamu sana Wa mambo Haya.ila jaribu kutembelea websites zao
Binafsi profile haijachange but nimeingia kwenye website ya chuo nimekuta jina langu kuwa ni mmoja ya waliochaguliwa.
chek na prof... afu bado wana update